0


Amber Rose na Kim Kardashian wakutana kumaliza beef la Kanye West na Wiz Khalifa.
Kim Kardashian na Amber Rose wameishangaza dunia ya hiphop baad aya kupiga picha pamoja wakati wame zao wako kwneye beef kali.

Kim ambaye mume wake ni Kanye West na Amber ambaye ni mama mtoto wa Wiz Khalifa walionekana pamoja kwenye picha moja iliyowekwa kwenye kurasa zao za instagram na twitter.

Inasemekana Amber na Kim K walikutana kumaliza beef kati ya Kanye West na Wiz Khalifa.

Post a Comment

 
Top