Wiz Khalifa Na Kanye West Wamaliza Beef Yao,Kanye Katoa Taarifa Hii. 0 Entertainment 2:26 AM A+ A- Print Email Rapa wawili wao tishia hiphop baada ya kutaka kuwa na beef kubwa kutokana na maneno makali waliobadilishana mtandaoni wamemaliza beef yao. Hii imekuja ghafla tu baada ya Ex wa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ kukutana na kupiga picha na Kim Kardashian.
Post a Comment