0

 Kupitia kipindi cha take one kinachofanywa na Zamaradi Alifanya Mahojiano na Mwanaume anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja {shoga} anaitwa Kaoge, Pamoja ni ngumu kuaangalia ila kunafunzo la kujifunza kwa kwaajili ya watoto wetu wa kiume tunavoweza kuwalea.
 Mashoga wanaongezeka kwa kua waaribifu ni wengi na wengi ni watu wazito. Shoga anatamani kuzaa anataka kupandikiza na yupo kwenye harakati za kubeba mimba


 Alikua anaitwa mwanamke tangu mdogo na baba yake na mitaani alikua anaitwa gody ka demu, Kiukweli wanaume tusifumbie macho ili swala malezi ya karibu zaidi tangu utoto ndio tunaweza kupiga vita USHOGA. Na si matusi kipigo na unyanyapaaji

Post a Comment

 
Top