0

Siku Ya Jana usiku kituo cha televisheni cha Clouds kupitia kipindi cha Take One kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema kilirusha mahojiano na shoga mmoja maarufu kwa jina la Kaoge. 
Haya ni maoni ya watumiaji wa mitandao ya kijamii nawatazamaji kuhusu kipindi hicho.












A photo posted by zamaradi mketema (@zamaradimketema) on


"Suala hili ukilitazama postively utapata kujifunza mengi sana, hiki ni kipindi cha toba na kuhamasishana mema na kuacha mabaya, HILI NI BAYA NA LAZIMA TULIPINGE na KULIKEMEA na tusiwaangalie mashoga pekee tuwaangalie pia wale wanaoshirikiana nao ambao tuko nao ndani ya jamii. Tusisubiri mambo yaharibike zaidi ndo tuanze kuzungumza lazima tuchukue hatua sasa, kama tunavyoweza kumhoji mwathirika wa madawa ya kulevya na kuamini kwa kujua njia alizopitia tutaweza kuepuka na kuwaelusha ndugu na jamaa zetu ndivyo hivyo tujifunze walipokosea hawa Je kuna tamthilia ngapi za nje zinaonekana kwenye runinga zetu zenye maudhui yenye hulka kama hizi na utofauti wa kipindi nilichofabya na tamthilia za nje ni kwamba kipindi changu kimelenga KUKEMEA na KUFUNDISHA,kikubwa SHTUKA na CHUKUA HATUA. Leo ukienda kwenye kumbi za starehe kwenye taarabu haya yamekuwa ni mambo ya kawaidani pia ukipita Instagram utakuta page zao kabisa" @zamaradimketema #Clouds360 #CloudsTv @babbiekabae @samsasali
A photo posted by Clouds TV (@cloudstv) on
TAZAMA KIPINDI HAPA CHINIKAMA HAUKUFANIKIWA KUKIONA

Post a Comment

 
Top