Siku chache baada ya Instagram kumuonya Rihanna na kumtishia kumfungia akaunti yake kama asipozingatia masharti ya kuutumia mtandao huo ikiwemo kutoshare picha za utupu, akaunti hiyo ya Rihana imetoweka ghafla kwenye Instagram.
Sasa hivi ukiingia katika akaunti yake iliyokuwa na
jina @badgalriri iliyokuwa na zaidi ya followers milioni 12 hiki ndicho
utakachokuta
Wiki iliyopita Rihanna alipost picha za utupu katika
akaunti yake ya Instagram ambazo hata hivyo ziliondolewa, huku Riri akizipost
tena picha hizo katika akaunti yake ya Twitter.Bado haijafahamika kama Riri ameifunga akaunti yake ya
IG au imefutwa na Instagram wenyewe.
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM
Post a Comment