Msanii wa
Deja Vu Music na Endless Fame Films,
Mirror amefanya collabo na mshindi wa
mwaka huu wa KTMA wa wimbo bora wa mashairi wa Afrika Mashariki, Jose
Chameleone.
Wimbo huo umerekodiwa katika studio za AM Records chini ya producer
Manecky.
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM
Post a Comment