0
Mbunifu anayekubalika Tanzania kwa upande wa vijana na aliyevuma na suti zake za single button, Martin Kadinda anatarajia kufanya show yake ya kwanza mwaka huu jijini Lusaka, Zambia. 

 Fashion Show Teaser-Zambia   Martin amesema Natambua wajibu na jukumu langu kama kijana kutumia kipaji nilichonacho katika kuitangaza nchi yangu na kujitangaza mwenyewe katika anga la kimataifa.
 Hivyo nilivyopata mwaliko wa kushiriki maonyesho ya mavazi nchi Zambia nimepokea kwa furaha kubwa na nawaaahidi Watanzania kufanya show poa sana.”  Kadinda ameongeza kuwa anaondoka nchini usiku wa tarehe 29 kuelekea katika fashion Week hiyo ambayo itamkutanisha na wabunifu wakubwa Afrika akiwepo paledi from Afrika Kusini. 
Ikumbukwe kuwa Kadinda ndio alikuwa mbunifu wa kwanza kualikwa mjini New York mwaka 2012 katika maonyesho makubwa ya mavazi ya music on the catwalk na kufanikiwa kuhudhuria New York fashion week huko nchini Marekani. 
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE  HII JIUNGE NASI  KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ

Post a Comment

 
Top