Timu ya Real Madrid imewacharaza mahasimu wao wa jadi katika
ligi ya uhispania Atletico Madrid mabao 4 kwa moja katika fainal ya kombe la
kilabu bingwa barani ulaya.
Ushindi huo ni wa kumi kwa timu ya Real Madrid.

Atletico Madrid ndio iliotangulia kucheka na wavu katika
kipindi cha kwanza cha mchuano huo.
Atletico waliendelea kuongoza hadi katika mda wa majeraha
ambapo Real Madrid ilikomboa na kuilazimu mechi hiyo kuchezwa katika mda wa
ziada.
Na huku ikiwa imesalia dakika kumi ,Real Madrid ilipata
mabao matatu kupitia wachezaji,Gareth Bale,Junior Marcelo na Christano Ronaldo.
Atletico Madrid haijawahi kushinda taji la ubingwa huo.

ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ
Post a Comment