Kama wewe ni mfwatiliaji mzuri wakipindi cha SizKitaacha Clouds Tv, utautakuwa umekutana na mahojiano ya T.I.D a.k.a Mnyama a.k.a Mzee Warioba akilijibu swali la Casto Diskson lililohusu kuvunjika kwa Top Band Na T.I.D kusema kuwa Q Chilla alikuwa na tamaaa.
Lakini Msanii Q Chillah amesema kuwa yeye sio chanzo cha Top Band kufa, Chillah amesema kuwa sio kweli kama alivyozungumza ila walipewa milioni 10 na muhindi akampa TID aende Dubai kununua vifaa vya Band yao lakini alishangaa kumkuta club tofauti na makubaliano yao na baadaye aligundua kuwa aliitumia hela hiyo kwa kununua gari, akaamua kuobdoka na kwa sasa hayuko tayari kurudi Top Band.
"Mwambie mnyama Warioba kuwa Mgabe kakasirika mnyama anafamilia aache unga aache ngada watu wote tumeshaacha mwambie afanye mziki asizungumze kusu mziki , MWAMBIE T.I.D AACCHE KUVUTA UNGA WATUWOTE TUSHAACHA SASA HIVI..Tell him to do music not to talk about music"Amesema Q chilla
Post a Comment