0

Siku ya pili leo mtandao wa 360nobs umetoa orodha ya nyimbo mia moja zilizopakuliwa sana nigeria Ikiwa jana wametoa mia moja na leo miamoja jumla 200  .
Orodha hii  inaweza kukusaidia wewe mpenda burudani ukazifahamu nyimbo kali na zinazofanya vizuri kwa naija na Afrika kwa ujumla
Katika list hiyo Wiz Kid Na Davido Wanaonekana kama vile wanaongoza 

Post a Comment

 
Top