0
MWANAMITINDO AFANYAYE KAZI ZAKE ZA UANAMITINDO ALOJIKITA MAREKANI FLAVIANA MATATA AMEKUWA AKIFANYA KAZI MBALI MBALI ZA KUONESHA MAVAZI JUKWAANI SAMBAMBA NA HIZI ZA MATANGAZO YA KIBIASHARA YA MATANGAZO YA MAVAZI NA SAFARI HII AMEFANYA NA KAMPUNI YA NEWYORK AND COMPANY KWA AJILI YA MAVAZI YA MAJIRA YA JOTO

Ni Watanzania wengi sasa hivi yanatambua uwepo wa Mwanamitindo Flaviana Matata ambaye anaishi na kufanya kazi New York Marekani na amekua akiiwakilisha nchi yake vizuri tu pamoja na kuikumbuka kwa kusaidia kulipa ada za Wasichana wasiokua na uwezo.

Good news ya leo ni Mwanamitindo huyu kuendelea kushine kwenye matangazo ya kibiashara na time hii kafanya hili tangazo la mavazi ya majira ya joto na kafanya na New York and Company.






Post a Comment

 
Top