Kama ulikosa kutazama msimu wa kwanza ulipita wa Prison Break itabidi ujipange kufanya hivyo msimu wapili unakuja uende nao sawa.
Prison Break inarudi ikiwa na waigizaji wote kuanzia msimu wa kwanza akiwemo Michael Scofield aliyekuwa anadhaniwa amekufa.
Itazame Trailer yake hapo chini
Post a Comment