0
Baaada ya watu wa Toronto kuonekana kutokufanya lolote kwa kile alichoambiwa Drake Na rapper Meek Mill kuwa kimewagusa na wamekaa kimya. 
Norman "Norm" Kelly Ambaye nimwanasiasa kutokea canada pia  MAYER wa jiji la TORONTO ametoa kauli kuhususina na maneno Meek Mill aliyo yasema yakiwa ni diss Kwa Rapper DRAKE ambaye anatokea Toronto.
Norman "Norm" Kelly
Meek mill alipost kwenye ukurasa wake wa tweetter  na kusema kuwa asifananishwe na Drake Kwani rapa huyu kutoka Cash money huandikiwa nyimbo.
Mwana siasa huyo mabaye pia na mayer wa jiji la Toronto Ali tweet kwamba 

"Norm Kelly ✔@norm
You're no longer welcome in Toronto, @MeekMill." Ameandika Norm Kelly 

KAMA ULI MISS KILE ALICHOKIANDIKA MEEK MILL KUSU DRAKE PITIA SASA

Post a Comment

 
Top