Rapper wa wili 50 cent Na Ja Rule Wafufua Beef Yao Ya Miaka 10 Iliyopita
Wakali hao wamekuwa wakipeana makavu kupitia mitandao ya kijamii, ingawa Ja Rule anakubali kwamba 50 Cent alishinda beef hiyo ya miaka 10 iliyopita,
marapa hao wanaotokea New York kwa mara nyingine wamefufua beef yao jana Jumanne Agosti 4 kwa kushambuliana kwenye mitandao ya kijamii.
“Oh I herd what you said on the power 105 morning show, you fu😠king punk,” Anasema 50 cent. “Everybody knows I put your ass to sleep.”
50 cent alimchana Ja Rule kupitia instagram kutokana na mahojiano aliyoyafanya rapper wa Murder Inc, alikuwa kwenye show ya Power 105.1 The Breakfast Show Julai mwaka jana ambapo alisema alimpiga 50 cent na Louisville slugger na msaada.
50 cent akajibu “”Oh I herd what you said on the power 105 morning show, you fu😠king punk,” 50 says. “Everybody know I put your ass to sleep.”
Ja Rule alikutana na shambulizi kupitia instagram kukiwa na picha iliyotumika kwenye cover ya GQ.
“[T]his ho has a lot of balls!!!,” Ja posts on his Instagram page. “Unfortunately she also has a pussy shut up before somebody put a dick in ya mouth.”
Kutokana na beef hii kuanza upya, 50 cent alifananisha ugomvi wake na Ja Rule na wa Meek Mill na Drake ambao ulikuwa kwenye instagram.
“Is that me, nah I’m not light skinned,” Anasema 50 cent akimnukuu Drake. “What the fu😆k is going on. Smh LMAO this guy been watching me close.”
Ja Rule then counters the Meek Mill – Drake comparison on Twitter.
Ja Rule anakataa ugomvi wake na 50 cent kufaninishwa na wa Meek Mill na Drake.
“If y’all wanna compare #meekvsdrake to 50vsRule I’m gonna need one of these niggas to get stabbed or shot!!,” Anatweet Ja Rule. “All jokes aside I don’t wanna see those guys get hurt I like both of them keep it on wax but stop comparing it to other beefs…”
Beef imerudi tena, iwe beef business tu isifike kama ile iliyoweka historian a haitaweza kusahulika milele beef ya Tupac na B.I.G ambayo ilipelekea vifo vya marepa hawa wakubwa duniani waliokuwa wakipendwa sana.
Post a Comment