0
Juma Jux  Mkali wa “Looking for you”  amesema kuwa mpenzi wake Vanessa Mdee ni msichana  aliye mbadilisha sana maisha yake na ameanza kufikilia kumuoa tofauti na alivyokua na wasichana wengine.


Jux alisema hayo siku ya jana kwenye Kipindi cha “Ala za roho” cha Clouds Fm ambapo aliongeza kuwa Vanessa amembadilisha maisha yake kwa ujumla kiasi kwamba hata mziki wake umeanza  kufanya vizuri nje ya nchi. 
Katika hatua nyingine Jux na Vee Money wamechora Tatoo za kuendana mkononi, kwa vanessa kuna maneno yanasema “If not now, when” na kwenye mkono wa Jux inamalizia “If not me, who” 
kama inavyoonekana katika picha hapo chini 

Post a Comment

 
Top