Ommy Dimpoz ni staa mmiliki wa single ya ‘achia body’ ambayo inachezwa kwenye TV na Radio za Tanzania sasa hivi, wiki iliyopita Ommy alijikuta mikononi mwa Wanajeshi nje ya makao yao ya Lugalo na kupewa adhabu ya kuruka kichurachura, tazama hii video hapa chini ujue ilivyokuwa.
Post a Comment