January 22 2016 Kamati ya Miss Tanzania ikiwa na baadhi ya viongozi wakiwemo akina Jokate Mwengelo, Juma Pinto na Gladys Shao imeamua maamuzi mengine.
Kilichonifikia ni kwamba Kamati hiyo imeamua kujitoa kwenye kuandaa mashindano hayo kutokana na kupishana kwa baadhi ya mambo kwenye utendaji wa Kamati hiyo.
Post a Comment