0

Hatimaye rapper Kanye West amesema kile mashabiki wake walichokuwa wakisubiria kwa muda mrefu kusikia kutoka kwake, ikiwa ni kufahamu tarehe rasmi ya kutoka kwa album yake mpya SWISH inayosubiriwa kwa hamu.
Kupitia Twitter Kanye ameandika album hiyo ya saba itatoka February 11, 2016.
Mwsihoni mwa mwaka jana Kanye alichimba mkwara asiulizwe na mtu yeyote kuhusu lini album itatoka mpaka pale atakapomaliza kila kitu, alitweet “ “no offense to anyone… I’m asking everyone DON’T ASK ME FOR ANYTHING TILL AFTER I’M FINISHED WITH MY ALBUM,”

Post a Comment

 
Top