Kanye West ametangaza kuwwa atazindua album yake mpya, Swish kwenye New York Fashion Week 2016.
Tayari ametoa nyimbo mbili kutoka kwenye album hiyo.
Hii si mara ya kwanza kwa Yeezy kuzindua kitu kikubwa kwenye Fashion Week. Alizundua nguo zake za Yeezy Season 1 na 2 mbele ya wahudhuriaji wa show hizo.
“Swish” finally has a release date, and will drop on Feb. 11. While this might not ring a bell for some, fashion folks should raise an eyebrow, as it marks the first official day of New York Fashion Week,” aliandika kwenye Twitter.
Swish ni album ya saba ya Kanye iliyokuja miaka miwili baada ya kuachia Yeezus.
Album hiyo ambayo awali ilipewa jina ‘So Help Me God’ kabla ya kubadili jina, imewashirikisha wasanii kama , Kendrick Lamar, Paul McCartney, Ty Dolla $ign, Tyler Bryant, Karim Kharbouch (French Montana), Cydel Young (Cyhi the Prynce) na wengine.
Post a Comment