0
Yamepita masaa saba tu toka staa wa muziki wa HipHop kutoka Marekani, Kanye West atangaze kuachia single yake mpya ‘No More Parties In LA’ na King of Compton City, Kendrick Lamar, single itakayopatikana kwenye album mpya ya Kanye, SWISH.

Good news kwako mtu wangu, kama wewe ni shabiki wa muziki wa Kanye West na pia kama ni mfuatiliaji mzuri wa ngoma za Kendrick Lamar basi ipokee collabo mpya ya Kanye na Kendrick kwenye hizi dakika 6 za ‘No More Parties in LA hapa chini!

Post a Comment

 
Top