0


Keep it original mtu wangu !! Hiyo ni nyingine inayokufikia sasahivi kwenye video yake, mweusi G Nako mkali ya chorus kwenye headlines zake anakuja na kitu ‘OG‘ mpyampya kwenye mapokezi ya 2016. 

Najua audio yake imeanza kukamata mawimbi sasahivi, jamaa aliwahi pia kusuka hits kadhaa ikiwemo ‘Mama Yeyoo‘- Feat. Ben Pol. OG ‘Original’ hii hapa kutoka kwa G Nako.

Post a Comment

 
Top