0

First Lady kutoka Mavin Record Tiwa Savage karudi kwenye headlines na brand new video ya hit single yake ya Standing Ovation aliyomshirikisha CEO wa YBNL Olamide, Single imetengenezwa na boss wa Mavin Record Don Jazzy na video imesimamiwa na director aliyesimamia video ya Number One Remix ya Diamond ft Davido, mkali Clarence Peter. Enjoy mtu wangu

Post a Comment

 
Top