Ommy Dimpoz ni mwimbaji wa bongofleva ambaye yuko kwenye headlines sasa hivi na single yake mpya ya ‘achia body‘ ambayo imeshatoka kwenye audio na video, kwenye hii video hapa chini Ommy anaongelea post alizozifuta Instagram na mengine ya kuunfollow.
Post a Comment