RIRI Mfahamu Kwa jina la Rihanna ameivunja rekodi iliyowekwa na Michael Jackson kwakuwa msanii wa tatu aliyetoa nyimbo nyingi zilizoshika nafasi ya kwanza.
Hit Single yake mpya ya muimbaji RIRI mwenye miaka 28, Work aliyomshirikisha Drake, imeandika record kwakuwa ya 14 kukamata nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Hot 100 na kumshinda Michael aliyekuwa na nyimbo 13.
Mrembo Rihanna bado yupo nyuma ya Mariah Carey, mwenye nyimbo 18 huku The Beatles wakishika rekodi
Post a Comment