Ne-Yo ni mume wa mtu kwa sasa. Mwimbaji na mchumba wake ambaye ni model Crystal Renay, wamefunga pingu za maisha huko Terranea Resort katika Rancho Palos Verdes, Calif siku ya Jumamosi Feb 20.
Rnb super staa Ne-Yo amefunga ndoa na mchumba wake mwanamitindo Crystal Renay. Tukio limetokea kwenye mgahawa wa Terranea huko Rancho Palos Verdes, California jumamosi ya Feb 20 2016.
Ne-Yo ameliambia Jarida la PEOPLE kuwa hatafanya tena kitu kama hicho, Na kwa sasa anaraha kwakuwa yeye na familia yake watakuwa pamoja
"I’m not doing this again, so I’m happy that my family and friends are able to be there to share this moment with us. We’re human beings, so we’re gonna bump heads on different things, but we’ve agreed that this is gonna be a marriage that lasts.
Renay anaujauzito wa Ne-Yo wa miezi tisa sasa na huyu ni mtoto wa tatu wa Neyo. Neyo ana mtoto wa kike wa miaka mitano ‘Madilyn Grace’ na mvulana wa miaka minne ‘Mason Evan’ kutoka kwenye mahusiano yake na Monyetta Shaw.
Post a Comment