0

 MI amemtetea rafiki yake wa muda mrefu Ice Prince kwa kitendo chake cha kumtetea mpenzi wake kuhusu taarifa za usaliti. 

MI Abaga ameongelea kitendo cha Ice Prince cha kumtetea mpenzi wake aliyeripotiwa kumsaliti baada ya picha zake akiwa eneo moja na mtu anayejulikana kama tajiri flani mwenye familia yake.
MI aliandika hivi
“Man.. @Iceprincezamani stood up for his girl when it would be easier to say nothing!!!! #Respect”
“After speaking to him and understanding the depth of the situation.. I respect him for protecting her first!! #Respect”

Post a Comment

 
Top