0


Mwanadada Kim Kardashian anusurika kuanika sehemu za kifua chake kutokana na gauni alilokua amevaa kuonekana kutomtosha vizuri.


Alionekana akisumbuka kulazimisha sehemu za kifua chake zikae ndani baada ya kufika katika “Opera Premiere” (maonyesho ya live) mjini ufaransa.




Kanye West aliongozana na mkewe huyo jioni ya Jumapili katika kuangalia show hiyo.


Wawili hao waliofunga ndoa 2014, waliamua kwenda kuangalia “opera Premier”(maigizo ya live) kabla ya kwenda kupata mlo wa jioni na mwanadada Kim Kardashian alionekana kwa ara nyingine tena akijaribu mara kazaa kuvuta vuta gauni lake jeupe ili limkae vizuri. 

Licha ya yote wana ndoa hawa walionekana kufurahia usiku huo kuliko watu wengine.







By Eye De Marie 

Post a Comment

 
Top