0
Staa wa muziki kutoka Nigeria Tekno Miles amekutana na mic ya DStv alipokuja Tanzania na kukubali kujibu maswali yafuatayo.

Ni kweli kwamba una mpango wa kufanya kolabo zaidi ya moja na mastaa wa bongofleva Tanzania? Tekno kajibu, "Yes ni kweli, Diamond ni my favourate artist kutoka Tanzania na alinipokea vizuri sana toka siku ya kwanza."
 Diamond Platnumz ni favourite ya watu wengi

Tekno anaendelea kwa kusema, "Kazi za kusubiria zipo na mastaa wa bongofleva, nina kazi na Madee, Vanessa Mdee na wengine kadhaa so Watanzania wazisubirie tu."

Pia ameiambia DStv kwamba anatarajia kuja Tanzania kushoot video yake mpya ambayo anaamini ataifanyia Zanzibar.

Tekno ametaja jina la nyimbo hiyo na video atakayokuja kuifanya Zanzibar kuwa ni Where na utatoka soon Mungu akijalia.

Post a Comment

 
Top