
Staa wa muziki hapa nchini anaye tikisa na ngoma yake ya Lupela, Alikiba ameshindwa kuweka wazi kuhusiana na mahusiano ya kimapenzi yaliyokuwepo kati yake na model maarufu ndani na nje ya nchi Jokate Mwegelo.
Kwenye mahojiano Alikiba aliyoyafanya na reporter wa eNewz ya EATV, Mtaki Gamba, alikiba aliulizwa kuhusiana na akitaka kuchagua mwanamke wa kuishi naye ambaye anasifa za mwanamke wa ndoa 'Wife Materia' ndipo staa huyo alipo jiuma uma nakusema kuwa "...watu sikuhizi wanasahau kuwa Wazee wetu walikuwa wanachagua vipi msichana, Siotu mnaoana tu basi mependana tu mnakaa ndani... lazima muwe marafiki..."
Katika maongezi hayo pia Alikiba amesema yeye na Jokate ni marafiki na sio wapenzi, Swali ni je, Kama yeye na Jokate nimarafiki, Basi watakuja kuwa mke na mume kama asemavyo mke 'Wife materia' nilazima muanze kuwa marafiki?
Post a Comment