0
Kuna Miezi miwili tangu former X-girlfriend wa rapper Tyga,Blac Chyna alipoanza mahusiano na Rob Kardashian kaka wa beautifull Kardashian girls,hatimae kupitia akaunti yake ya instagram Blac Chyna amepost picha akionesha pete aliyovishwa na Rob na kuandika neno ” YES” kwenye caption.
Wawili hawa mahusiano yalianza january na kuwashangaza watu hasa ikizingatiwa kuwa Rob Kardashian ni kaka wa Kylie Janner ambae ni X-girlfriend wa Tyga ambae hapo awali alikua kwenye mahusiano na Blac Chyana na kufanikiwa kupata mtoto mmoja.
MAMA YAKENA CHYNA 




Post a Comment

 
Top