0
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa taarifa  kwa umma ya kuwepo kwa mvua kubwa na upepo mkali, taarifa hiyo ya mamlaka ya hali ya hewa imetaja maeneo yatakayoathirika kuwa ni pamoja na Tanga, Dar es salaam, Pwani, Morogoro, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba ambapo mvua hizo zinatarajiwa kusambaa katika maeneo ya mikoa ya Kilimanjaro na mashariki mwa Manyara.


Post a Comment

 
Top