0
Kupitia ukurasa wa IG wale wanaojiita team wema sepetu wameamua kufanya yao kwaku unganisha  picha ya diamond akiwa na kipini puani  na ya mama Tiffa Zarri nakuandika maneno haya.

DADA D NA GRANNY Z ON FLEEK...Nilikuwa nataka kuwa kimya kwa hii issue ila hapana aisee, yamenifika hapaaa..



A photo posted by ♥ WEMA SEPETU (@wemamisstz) on

Post a Comment

 
Top