0
Jina la msanii Wa bongo fleva tanzania  Baraka Da Prince  mkali wa hit ya SIACHANI NAWE sio geni kwenye masikio ya wengi hasa kwakina dada ambao wengi ni mashabiki wa mziki wake .

Kwa sikuu kadhaa amekuwa aki trend kuhu mahusiano yake kwakufwatiliwa sana kwenye mitandao ya kijamii,tulisikia kuhusu NISHA msanii wa Bongo Movie pia ilikuja ya Naj ambaye alikuwa mpenzi wa Mr Blue kitambo kidogo sasa Baraka kaamua kumtambulisha huyu mpenzi wake mpya yeye anadai ni mke wake kitambo sana pia amezungumzia kutokuzipenda nyimbo za msani Young Killer msodoki japokuwa wanatokea mkoa mmoja.
BOFYA  PLAY  KUTAZAMA 

Post a Comment

 
Top