0

WhatsApp inajiandaa kuja na huduma ya ‘video call’

Siku Za hivi karibuni iliweka version ya majaribio kwa watumiaji wachache lakini imetolewa kwaajili ya kuifanyia marekebisho zaidi.

Video calling kwa WhatsApp imekuwa ikifanyiwa kazi kwa takriban miezi sita sasa ambapo December mwaka jana screenshots za version ya iOS ya app hiyo ilivuja ikionesha huduma hiyo.

Na sasa huduma hiyo iko mbioni kutambulishwa kwa watumiaji wa app hiyo duniani kote. 

Wikiendi iliyomalizika baadhi ya watumiaji waliripoti kuwa option ya WhatsApp ilipatikana kwenye beta version 2.16.80.

Post a Comment

 
Top