0

Floyd Mayweather ni moja kati ya super star ambaye huwezi kumsimamisha aina ya swag za peke yake ambazo anatesa nazo sanaa.

kama unakumbuka vizuri alianza kutesa na magari ya gharama haikutosha akatufanyia tena ile ya maswala ya chakula sasa amekuja na hii ya nywele.

Anatumia kiasi cha dollar $1000 kwa  kunyoa maramoja peke yake na hukata mara tatu kwa wiki jumatatu,Jumatano na Ijumaa hapo ni jumla ya dola $3000.
Malkia mrembo Jackie Starr ambaye anamnyoa Mayweather anasema kuwa hulipwa kiasi cha dollar $1000 kwa kumnyoa mara moja 
Piga hesabu zako kwa wiki mara tatu kwa bongo ni bei gani  alafu niandikie majibu yako hapo chini kwenye Comment.

Post a Comment

 
Top