Diamond platnumz ni moja kati ya wasanii ambao wamekuwa na mafanikio makubwa nakujitengenezea marafiki wa karibu sana na wasanii wengi kitu ambacko kinampa urahisi wa yeyte kupata ushirikiano kwa haraka.
Siku chache zilizopita tulikutana na post kupitia Twitter ya Diamond aliandika kuhusu ngoma itayowakutanisha wakali wawili ambao ni Harmonize wa Tanzania ambaye yupo chini yalebo ya WCB ya Diamond pamoja na Mkali Korede Bello wa Nigeria Aliyepo chini ya lebel ya MAVINS
"Nilizungumzakama natamani sana siku dunia isikie nyimbo ya Harmonize aliyofanya na Korede Bello msanii kutoka Nigeria Korede Bello ni msaniialiyeimba Godwin iliyeimba nyimbo ya Mr romantic ni nyimbo nzuri ambayo naipenda wakati naisikiliza wakati naisikiliza nikajikuta mzuka nime tweet,Lakini uongozi ndio unajua uongozi nazungumzia mkubwa fella kina Boss Tale kina Mendes hao ndio wanajua inatoka siku gani." Alisema Diamond
"Nili Tweet ile nikaandika kwasababu ni nyimbo ambayo ni nzuri na alikuwa ananiambia mimi bhana nataka nifanye nyimbo na mtu flani nikamwambia tengeneza nyimbo ukishatengeneza nyimbo itafanyika, akatengenezaalivyotengeneza uongozi ukafanya hivyo. So nikafurahi nikawa naisikiliza yeye mwenyewe alikuwa hajaisikiliza alikuwa hajui kama ngoma imeshafanyika kwahiyo mimi nilivyo TWEET kama nili Msurprise kwamba ngoma imeshafanyika."Aliongezea Diamond Platnumz
Credit To : AyoTv
Post a Comment