Ile june 2 /2016 tuliyokuwa tukiisubiri leo imefika na kilichofanyika kwenye lebel ya WCB inayomilikiwa na Diamon Platnumz imetambulisha rasmi msanii wao mpya Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa kazi zake katika label hiyo.
Harmonize Richard Rich Mavoko
Kwa mujibu wa Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii nne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na jumla ya wasanii nne Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling’- Diamond Platnumz
Post a Comment