0

Alikiba ana Video ya wimbo mpya unaitwa Aje, ambao umefikisha views milioni 1 ndani ya siku 15 tangu iwekwe kwenye mtandao wa Youtube tanngu May 19, 2016.



Hiyo haijawahi kutokea kwa msanii yeyote wa Afrika aliyefikisha idadi hiyo ya views ndani ya wiki mbili akiwa chini ya label hiyo.


Ndio maana hawakusita kujivunia kwa hatua hiyo.

“In 1 week, @OfficialAliKiba’s music video for #AJE, has hit 1mil views! Nice one, Africa! Keep going,” wameandika Sony kwenye Twitter.

Post a Comment

 
Top