Bondia wa kimataifa, Muhammad Ali, amefariki dunia akiwa na miaka 74.
Ali ameugua Kwa muda mrefu kwa ugonjwa wa 'Parkinsons', uliomfanya ashindwe kuendelea na ndondi kutokana na mwili wake kushindwa kuhimili mchezo huo kutokana na hali ya kutetemeka sana. Aliugua takriban miaka 30.
Post a Comment