0
Wizkid ni baba wa Ayo Balogun Jnr kwa mujibu wa matokeo ya DNA yaliyotolewa  na baby mama  wake mwingine Binta Diallo a.k.a "Blue Diamond" ambae Ni Model wa Marekani. 
King_ayo 

Tetesi hizi zilianza kusikika tangu mwezi wa kwanza, mwanamke Huyu alipojitokeza na kusema amezalishwa Na mwanamuziki huyo Na Wiz Kid alionekana kukanusha tuhuma hizi Kama alivyo fanya kwa mwanamke mwingine ambae alimzalisha mtoto ambae kwa Sasa anasemekana Kua Na miaka mitano. 
Kwa tuhuma hizi Wiz Kid hakujibu lolote baada ya majibu ya DNA kuwekwa Na mwanadada huyo kupitia account yake ya Instagrama. Hata huyo mtoto amepewa jina la Kwake yeye mwenyewe Wiz Kid ambalo Ni "Ayo Balogun Jnr"

Credit To :Eye De Marie

Post a Comment

 
Top