Picha Hizi zinaonyesha mtindo mpya kwenye kichwa cha mshambuliaji mkali Paul Pogba kutoka Ufaransa.
Ukiacha mtindo mpya Paul kwa sasa yupo kwenye vichwa vya habari kama miongoni mwa wachezaji wenye thamani kubwa sana akitaka kununuliwa kwa ada ya Pound za Uingereza milioni 100 na klabu ya Manchester United.
Post a Comment