Vanessa Mdee Kaamua Kutisha tena Baada ya kufanya collabo na mkali KO straight outta South Africa kuna habari nzuri tena.
Kituo cha Mtv Base kimeripoti collabo nyingine ya Vanessa Mdee na hit maker wa mdundo wa My Woman Patoranking, mdundo ambao utatayarishwa na producer Dj Maphorisa.
Post a Comment