0

Siku ya jana July12 Diamond platnumz aliachia nyimbo mpya ‘Kidogo’ aliyowashirikisha P-squre Hit hiyo yageuka furaha kwa mashabiki wa P-Square Nigeria.

Wakati ambapo hatma ya kundi la P-Square bado haijulikani, mashabiki wa mapacha hao maarufu zaidi Afrika, Peter na Paul, wamebandikiwa tabasamu kwenye nyuso zao baada ya video ya wimbo ‘Kidogo’ walioshirikishwa na Diamond kutoka.

Video hiyo iliyoachiwa rasmi Jumanne hii imekuwa ni kazi ya kwanza inayowaonesha wasanii hao wakiwa pamoja tangu kutokea kwa mgogoro wao uliopelekea kundi hilo lisambaratike.

Mashabiki wa kundi hilo hata hivyo wameonesha furaha yao kubwa baada ya kuona kazi hiyo huku wakiwaomba walirudishe kundi lao. Video hiyo imekuwa na advantage kubwa pia kwa Diamond ambayo inamhakikisha sasa kupenya kwa asilimia 100 Afrika Magharibi.

Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki wa Nigeria kuhusu video hiyo pamoja na kundi hilo:
realijeoma_angel
Pls dear @ Peter mrp, pls my love make peace with ur twin forget and forgive what ever he may hv done to u, God him self hv never given up on u of all ur shot comings, why will u do so to someone special like ur twin, haba pls the devil is at work to bring shame to ur name but don’t allow him to do so, pls I will love to see u guys back together again. Pls am begging you.



anita_2504
U killed it @peterpsquare. … thanks for putting smile on ur fans faces again .just watching u and ur twin again made my day , am sooo happy #bringbackpsquare now trending . all true fans of psquare @peterpsquare and @rudeboypsquare including fans of @diamondplatnumz stand up . Go on social media especially twitter and Instagram and post , twitt #bringbackpsquare . One love Africa . It gona be a history that this video brought peace back to psquare … join d movement

alexandriam_2
That wasn’t so hard now was it? A 3 fold cord is not easily broken. God is your strength you guys. Stick together and you will flourish. @peterpsquare @rudeboypsquare

zakaryumarou
A very good video please come back together as a team, just look how you kill the video

adorable0ne
#bringbackpsquare . One love Africa . It gona be a history that this video brought peace back to psquare … join d movement ..

agasi_ayo
You see life @rudeboypsquare … @peterpsquare like the song plus the video dance and some attitude wow it’s great @peterpsquare pls release your single we want to hear it.

fabuloushenshaw
@peterpsquare you killed your part in the video, I really love your own part of the video I swear also @rudeboypsquare killed it with the hook you guys can’t just stop giving us the best

Post a Comment

 
Top