0

Wema Sepetu na mama Diamond Platnumz mambo shwari,hizi salam za Wema kwa mama Dangote.
Ikiwa na siku ya kuzaliwa ya Mama yake Diamond Platnumz, Wema Sepetu ametumia siku hii kuonyesha mambo yako sawa kati yao baada ya kutupia maneno machache ya kumtakia heri ya kuzaliwa mama Dangote.
Kupitia Instagram leo 7 July 2016 Wema ameandika “Happy Birthday mamy akee…. @kendrah_michael @kendrah_michael ????????????“
A photo posted by wemasepetu (@wemasepetu) on

Post a Comment

 
Top