Rapper 50
Cent afunguka ugomvi wa T.I na Mayweather kupitia mtandao wa
Instagram....katika Video hiyo, 50 anamshauri Mayweather kuachana na T.I
kwa sababu ngumi zake hazitamsaidia kama T.I akianza kurusha risasi,
akimaanisha kukamatwa kwa T.I 2007 kwa kukutwa na silaha kinyume na
sheria.
Post a Comment