Well wakati Kanye anaoa italy , T.I alikuwa anapigana na Floyd Mayweather pande za Vegas. Chanzo ni mke wa T.I aitwaye Tameka aka Tiny.
Well inasmekeana kwamba baada ya Floyd kupiga picha na Tiny na kuweka on instagram wakiwa kwenye party...King of South akaona...
akamfanya mwaka we need to talk, ndio inasemekana kwamba eti, Floyd
akamjibu ish. Kilichojiri baada ya hapo ni kurushwa kwa ngumi na viti,
mara Floyd amwambie T.I control ur mish na vitu kama hivyo
According to T.I anadai alirusha ngumi ikampata Mayweather, then akapost
Video on Instagram akionyesha uso wake kwamba uko poa hajapigwa na
boxing champion huyo, ila kwenye mkono ndio alikuwa na bandej
Well,
Mayweather aamua kujirudi na kumuomba msamaha Tiny kwa kusema ni
mshikaji wake tu, na hawezi kujihusisha kimapenzi na mwanamke aliyeolewa
,
hata hivyo anamheshimu sana Tiny..
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ
Post a Comment