0
Chege na Temba baada ya kukaa mwaka mzima bila kufanya kazi ya pamoja kama kawaida yao, mwezi huu ama ujao wanarudi tena na ngoma ya 'Wauwe' na jana walikua wanashoot Video ya ngoma hiyo katika kiwanja cha ndege, na wamewashirikisha mastar wenzao kushika nafasi za u pilor na vitu kama hivyo.


Si mara ya kwanza kwa Temba na Chege kushoot na Private. Je, kwenye Kinoma noma ft Linah walifanya tukio linalo fanana na wauwe?

SANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE  HII JIUNGE NASI  KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ 

Post a Comment

 
Top