Apparently the boy is in jail. where dem boys hit maker
Wiz Khalifa alikamatwa pande za Texas, kwa kosa gani?
La kukututwa na kitu cha mmea, Rapper huyo alikamatwa airport na
wasimamizi wa uwanja huo, wakati jamaa alipokuwa anatoka El paso
akielekea Dallas, ndipo tsa wakaona kitu kama cha mmea wa kijani kijani
vile. wakagundua kuwa mimea ile ni kama gram 0.5 za weed
wakaamua kumtupa nyuma ya nondo, hiyo ni kwa mujibu wa mtandao wa TMZ
so wat Wiz did alipokuwa jela?
he took a selfie of himself na kutupia on Instagram.
the thing we do for likes basi on ig , ni nomaaaa
Post a Comment