Diamond
ndiye aliteyajwa kwenye vipengele vingi zaidi (5) vikiwemo Msanii wa Mwaka,
Wimbo wa Mwaka, Collabo bora, Video Bora ya mwaka na msanii bora wa kiume wa
Afrika Mashariki. Ben Pol ametajwa kuwania tuzo ya msanii bora wa kiume wa
Afrika Mashariki, Sheddy akitajwa kuwania kipengele cha mtayarishaji bora wa
mwaka, Lady Jaydee katika kipengele cha msanii bora wa kike wa Afrika Mashariki
na Mrisho Mpoto akitajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa muziki wa asili.
Hivi
ni vipengele ambavyo wasanii hao wa Tanzania wametajwa pamoja na wale
wanaochuana nao. Ingia hapa kuona vipengele vyote na kupiga kura. Tuzo hizo
zitatolewa July 26, huko Texas, Marekani.
Artist
of the Year
Flavour
(Nigeria)
Davido
(Nigeria)
Diamond
(Tanzania)
Sarkodie
(Ghana)
Mafikizolo
(South Africa)
Wizkid
(Nigeria)
Anselmo
Ralph – A Dor do Cupido (Angola)
Jaguar
(Kenya)
Song
of the Year
Davido
– Skelewu (Nigeria)
Mafikizolo
feat Uhuru – Khona (South Africa)
KCee
– Limpopo (Nigeria)
P
Square – Personally (Nigeria)
Yuri
Da Cunha – Atchu Tchu Tcha (Angola)
Fuse
ODG feat Wyclef – Antenna Remix (Ghana)
L.A.X
feat Wizkid – Caro (Nigeria)
Diamond
feat Davido – Number One Remix (Tanzania)
Best
Collabo
2face
ft Tpain
Diamondz
ft Davido – Number One Remix
Mafikizolo
ft Uhuru – Khona
Dr
Sid ft Don Jazzy, Phyno, Wizkid – Surulere Remix
Amani
ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Jmartins
ft DJ Arafat – Touching body
R2bess
and Wizkid – Slow down
Music
Producer of the year
Shizzi
(Nigeria)
Killbeatz
(Ghana)
Dj
Oskido (South Africa)
Nash
Wonder (Uganda)
Sheddy
Clever (Tanzania)
Ogopa
(Kenya)Don Jazzy (Nigeria)
Best
Video of the Year
Psquare
– Personally
Sarkodie
– Illuminati
Mafikizolo
ft Uhuru – Khona
Diamond
Platnumz – Number One
Flavour
– Ada Ada
Anselmo
Ralph – Unica Mulhe
Best
Traditional Artist
Flavour
(Nigeria)
Kwabena
Kwabena (Ghana)
Bassekou
Kouyate (Mali)
Sayicology
(South Africa)
Mrisho
Mpoto (Tanzania)
Stanlux
(Togo)
Tunakie
(Namibia)
Best
Female East Africa
Rema
(Uganda)
Aster
Aweke (Ethiopia)
Avril
(Kenya)
Lady
Jaydee (Tanzania)
Victoria
Kimani (Kenya)
Irene
Ntale (Uganda)
Best
Male East Africa
Diamond
Platnumz (Tanzania)
Ben
Pol (Tanzania)
Bebe
Cool (Uganda)
Wyre
(Kenya)
Navio
(Uganda)
Jackie
Gosee (Ethiopia)
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ
Post a Comment