Msanii maarufu wa Marekani Rick Ross amechora tattoo- chini tu ya mdomo wake- inayosema 'Rich Forever' yaani 'Tajiri Milele'. Sehemu hiyo ya uso wake ndio mahala pekee penye nafasi ya kuchora tattoo hiyo kutokana na eneo jingine la uso wake kuwa na ndevu zinazotunzwa vizuri.
Bila shaka kuona maneno hayo kila siku anapojitazama kwenye kioo itakuwa motisha ya kuhakikisha anakuwa tajiri milele.
ASANTE KWAKUTEMBELEA WEBSITE HII JIUNGE NASI KUWA MWANA FAMILIA WA JIMMCARTER.COM FACEBOOK-JIMCARTERTZ | TWITTER JIMMCARTERTZ
Post a Comment